Wednesday, April 17, 2013

BREAKING NEWS: Bi.Kidude AFARIKI DUNIA


 
Msanii nguli wa Muziki wa Taarab asili kutokea visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania, Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude amefariki dunia leo huko Zanzibar. 
 
Endelea kusikiliza East Africa Radio na kutazama East Africa Television (EATV) kwa habari zaidi.
chanzo EATV

No comments:

Post a Comment