Tuesday, August 27, 2013

MKUTANO WA KUPITIA WARAKA WA HOJA JUU YA UWIANO WA KIJINSIA KWENYE KATIBA MPYA NA RASIMU YA KATIBA WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

SONY DSCMwenyekiti Muungano wa Azadi za Jinsia(GFC)Magidalena Rwebangira,akitoa hotuba wakati akifungua mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha washeria wanawake Tanzania(TAWLA)PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM) SONY DSCMtaalamu wa Sheria na Maendeleo(LEDECO ADVOCATES)Bw Clarence Kipobota akitoa msisitizo wakati akiwakilisha mada yake kwenye mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA) SONY DSCDK.Grace Kazoba,kutoka chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM)akielezea mapendekezo ya Jukwaa la jinsia na rasimu ya katiba, kwenye mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)
SONY DSCWadau mbalimbali wa Baraza Jukwaa la jinsia la katiba,na madiwani kutoka mikoa ni wakiwa kwenye mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA) SONY DSCWanasheria,kutoka Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)wakiwa kwenye mkutano huo. SONY DSCMwenyekiti wa Chama cha wanasheria Wanawake  Tanzania (TAWLA) Aisha Bade,akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika  Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)
SONY DSC 
Diwani wa Viti maalumu Manispaa ya Moshi,Anna Nicholaus,akichangia mada wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika  Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
SONY DSC 
Diwani kutoka Wilaya ya Kinondoni Dar es salaam,Bernadette Ritti,akichangia mada wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika  Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam(wakwanza kushoto)Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)Tike Mwambipile(kulia katikati)Diwani Wilaya ya Kinondoni,Florence Wasira(kulia mwisho)Diwani kata ya Makongo,Deusdedit Mtiro,

MISS ILALA 2013 ADHAMIRIA KUNYANYUA ELIMU NCHINI, AKABIDHI VITABU SHULE YA MSINGI TABATA JIKA.

1
Miss Ilala 2013 Doris Mollel akitia saini kitabu cha wageni katika shule ya msingi Tabata Jika wakati alipotembelea shuleni hapo na kukabidhi vitabu vya maandalizi ya mtihani wa Darasa la 7.
2  
Doris Mollel, Miss Ilala 2013 akimkabidhi baadhi ya Vitabu mkuu wa shule ya msingi Tabata Jika Bwana Kiwia. Kushoto ni katibu wa kamati ya Miss Tabata 2013 Bw. Adili.
3
Miss Ilala 2013 Doris Mollel akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi na walimu wa shule ya msingi Tabata Jika baada ya kukabidhi Vitabu shule hapo.
4
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Tabata Jika wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Ilala 2013 Doris Mollel, huku wakiwa na baadhi ya vitabu vilivyokabidhiwa shuleni hapo na mrembo huyo.