Mwenyekiti
Muungano wa Azadi za Jinsia(GFC)Magidalena Rwebangira,akitoa hotuba
wakati akifungua mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya
uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba,
uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini
Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es
salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia
na Chama cha washeria wanawake Tanzania(TAWLA)PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM) Mtaalamu
wa Sheria na Maendeleo(LEDECO ADVOCATES)Bw Clarence Kipobota akitoa
msisitizo wakati akiwakilisha mada yake kwenye mkutano wa siku moja wa
kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba
mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani
kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa
moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake
Tanzania(TAWLA) DK.Grace
Kazoba,kutoka chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM)akielezea mapendekezo ya
Jukwaa la jinsia na rasimu ya katiba, kwenye mkutano wa siku moja wa
kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba
mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani
kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa
moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake
Tanzania(TAWLA)
Wadau
mbalimbali wa Baraza Jukwaa la jinsia la katiba,na madiwani kutoka
mikoa ni wakiwa kwenye mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja
juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya
Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa
jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es
salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa
moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake
Tanzania(TAWLA) Wanasheria,kutoka Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)wakiwa kwenye mkutano huo. Mwenyekiti
wa Chama cha wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Aisha Bade,akiongea
na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka
wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu
ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya
Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa
Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa
moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake
Tanzania(TAWLA)
Diwani
wa Viti maalumu Manispaa ya Moshi,Anna Nicholaus,akichangia mada wakati
wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa
usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika
Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
Diwani
kutoka Wilaya ya Kinondoni Dar es salaam,Bernadette Ritti,akichangia
mada wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya
uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba,
uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini
Dar es salaam(wakwanza kushoto)Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria
Wanawake Tanzania(TAWLA)Tike Mwambipile(kulia katikati)Diwani Wilaya ya
Kinondoni,Florence Wasira(kulia mwisho)Diwani kata ya Makongo,Deusdedit
Mtiro,
No comments:
Post a Comment