Saturday, August 31, 2013
Tuesday, August 27, 2013
MKUTANO WA KUPITIA WARAKA WA HOJA JUU YA UWIANO WA KIJINSIA KWENYE KATIBA MPYA NA RASIMU YA KATIBA WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti
Muungano wa Azadi za Jinsia(GFC)Magidalena Rwebangira,akitoa hotuba
wakati akifungua mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya
uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba,
uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini
Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es
salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia
na Chama cha washeria wanawake Tanzania(TAWLA)PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM) Mtaalamu
wa Sheria na Maendeleo(LEDECO ADVOCATES)Bw Clarence Kipobota akitoa
msisitizo wakati akiwakilisha mada yake kwenye mkutano wa siku moja wa
kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba
mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani
kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa
moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake
Tanzania(TAWLA) DK.Grace
Kazoba,kutoka chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM)akielezea mapendekezo ya
Jukwaa la jinsia na rasimu ya katiba, kwenye mkutano wa siku moja wa
kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba
mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani
kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa
moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake
Tanzania(TAWLA)
Wadau mbalimbali wa Baraza Jukwaa la jinsia la katiba,na madiwani kutoka mikoa ni wakiwa kwenye mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA) Wanasheria,kutoka Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)wakiwa kwenye mkutano huo. Mwenyekiti wa Chama cha wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Aisha Bade,akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)
Diwani wa Viti maalumu Manispaa ya Moshi,Anna Nicholaus,akichangia mada wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
Diwani kutoka Wilaya ya Kinondoni Dar es salaam,Bernadette Ritti,akichangia mada wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam(wakwanza kushoto)Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)Tike Mwambipile(kulia katikati)Diwani Wilaya ya Kinondoni,Florence Wasira(kulia mwisho)Diwani kata ya Makongo,Deusdedit Mtiro,

MISS ILALA 2013 ADHAMIRIA KUNYANYUA ELIMU NCHINI, AKABIDHI VITABU SHULE YA MSINGI TABATA JIKA.
Miss Ilala 2013 Doris Mollel akitia
saini kitabu cha wageni katika shule ya msingi Tabata Jika wakati
alipotembelea shuleni hapo na kukabidhi vitabu vya maandalizi ya mtihani
wa Darasa la 7.
Doris Mollel, Miss Ilala 2013
akimkabidhi baadhi ya Vitabu mkuu wa shule ya msingi Tabata Jika Bwana
Kiwia. Kushoto ni katibu wa kamati ya Miss Tabata 2013 Bw. Adili.
Miss Ilala 2013 Doris Mollel akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi na walimu wa shule ya
msingi Tabata Jika baada ya kukabidhi Vitabu shule hapo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi
Tabata Jika wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Ilala 2013 Doris
Mollel, huku wakiwa na baadhi ya vitabu vilivyokabidhiwa shuleni hapo na
mrembo huyo.
Friday, May 3, 2013
Hatimaye serikali yafuta matokeo ya kidato cha nne 2012
(11:00 Jioni): Miongoni mwa kali za leo,
sikia hii: Hatimaye serikali yafuta matokeo ya kidato cha nne 2012 na
kuamuru yakaandaliwe upya...
Wednesday, April 17, 2013
BREAKING NEWS: Bi.Kidude AFARIKI DUNIA
Msanii nguli wa Muziki wa Taarab asili kutokea visiwa vya Zanzibar
nchini Tanzania, Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude amefariki
dunia leo huko Zanzibar.
Endelea kusikiliza East Africa Radio na kutazama East Africa Television (EATV) kwa habari zaidi.
chanzo EATV
Subscribe to:
Posts (Atom)